728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
19 October 2014

Download | Mkubwa Na Wanawe - Inooh [Audio]


Wimbo mpya kutoka kwa Mkubwa na Wanawe ambao ni kati ya nyimbo zilizopo kwenye collection ya NISEME. Wimbo huu inaitwa INOOH. Mkubwa na Wanawe ni wasanii ambao kwa muda mfupi sana wameweza kuonekana katika majukwaa makubwa na kuwa na mafanikio makubwa sana kimuziki wakiwa chini ya usimamizi wa Mkubwa mwenyewe Saidi Fela.
Fela ni meneja ambaye amesimamia na kuwatoa wasanii na makundi kama Juma Nature na Wanaume TMK..
Download wimbo huu hapo chini...





Download | Mkubwa Na Wanawe - Inooh [Audio] Reviewed by Nolniz on Sunday, October 19, 2014 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: